Mwili wa Askofu Castory Msemwa wa Jimbo Katoliki la Tunduru Masasi waagwa
Mwili wa Askofu Castory Msemwa wa Jimbo Katoliki la Tunduru Masasi umeagwa leo jijini Dar es Salaam. Askofu Msemwa alifariki dunia Oktoba 19,2017 mjini Muscat nchini Oman akiwa safarini kwenda…