Kardinali Becciu Ajiuzulu; Aondolewa Haki Za Ukardinali!
Papa Francisko ameridhia ombi la kujiuzulu kutoka madarakani lililowasilishwa kwake na Kardinali Giovanni Angelo Becciu, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la kuwatangaza waamini kuwa Wenyeheri na Watakatifu pamoja na kumwondolea…