Taarifa Kwa Umma Toka Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Kuhusu Zoezi La Kupitia na Kufanya Uamuzi wa Rufaa za Wagombea Ubunge
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na zoezi la kupitia, kuchambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa Wasimamizi mbalimbali wa Uchaguzi nchi nzima. Kifungu…