Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga
Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema serikali imekamilisha ujenzi wa soko kuu la wafanyabiashara mjini Katesh na kuwataka wafanyabiashara hao kuhamia kwenye soko hilo jipya lilojengwa na serikali…
Ujenzi wa daraja linalounganisha mitaa ya Ayaingi na Ayamaami kata ya Ayamaami itaondoa adha ya usafiri iliyokuwepo na kurahisisha shughuli za kiuchumi na kijamii kwa wakazi na watumiaji wote.
Imeelezwa kuwa ujenzi wa daraja linalounganisha mitaa ya Ayaingi na Ayamaami kata ya Ayamaami itaondoa adha ya usafiri iliyokuwepo na kurahisisha shughuli za kiuchumi na kijamii kwa wakazi na watumiaji…
Katibu wa NEC itikadi uenezi na mafunzo wa CCM Paul Makonda amehitimisha ziara yake mkaoni Manyara kwa kutembelea wilaya ya Hanang
Katibu wa NEC itikadi uenezi na mafunzo wa CCM Paul Makonda amehitimisha ziara yake mkaoni Manyara kwa kutembelea wilaya ya Hanang ambayo mwishoni mwa mwezi Dec 2023 ilikumbukwa na maporomoko…
MKUU WA MKOA WA MANYARA AKABIDHI PIKIPIKI 66 KWA WANAJUMUIYA YA MANYARA
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga amekabidhi piki piki 66 kwa jumuiya za maji katika wilaya zote za mkoa wa manyara ili kurahisisha utendaji kazi kwa watumishi hao. Akizungumza…
Rais Samia afanya uteuzi wa mkuu wa majeshi ya ulinzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda kufanya kazi kwa kuanza pale alipoishia Jenerali Venance Salvatory Mabeyo…
Watanzania wahimizwa kupata chanjo ya uviko19
Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani ametoa wito kwa wananchi kwenda kupata chanjo ya uviko 19 ili kujikinga na maradhi ya virusi vya korona. Ametoa wito…
Utunzaji wa mazingiza Tarafa ya Daudi Mbulu Mkoani Manyara
Jamii imeshauriwa kupanda miti kwa wingi ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwani shughuli za binadamu ndizo zinazochangia pa kubwa uharibifu wa mazingira. Kufahamu zaidi kuhusu hilo mwanahabari…