Month: November 2017

Janeth Masaburi Aapishwa Rasmi Kuwa Mbunge  

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuapisha Janeth Masaburi kuwa mbunge. Janeth aliingia bungeni akisindikizwa na wabunge wanawake wa CCM. Rais John Magufuli, Oktoba 21,2017 alimteua Janeth kushika wadhifa huo. Janeth…

habarinjemafm.org/wp-admin

Image captionShambulizi nchini Marekani baisikeli na miili ya watu ilitapakaa ardhini Meya wa mji wa New York, Bill De Blasio, amearifu kwamba watu 8 wamefariki dunia na zaidi ya 12…