Sethi ataka kutibiwa na daktari wa Afrika Kusini
Dar es Salaam. Mawakili wa Harbinder Sethi wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mteja wao atibiwe na daktari maalumu kutoka Afrika Kusini. Wamesema baada ya mteja wao kufanyiwa vipimo katika…
HabariNjema Fm- Mbulu Manyara
Dar es Salaam. Mawakili wa Harbinder Sethi wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mteja wao atibiwe na daktari maalumu kutoka Afrika Kusini. Wamesema baada ya mteja wao kufanyiwa vipimo katika…
Image captionRais Trump amesema kuwa Marekani imejiandaa kushirikiana na mataifa ya Apec iwapo kutakuwa na bishara yenye kutopendelea upande wowote. Rais Donald Trum wa Marekani amesema kuwa Marekani haitavumilia biashara…
Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli ameahidi kuimarisha mahusiano mazuri yaliyopo kati ya Tanzania na Uganda. Raisi Magufuli ametoa ahadi hiyo nchini Uganda wakati akizungumza katika…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa Dk. Louis Shika ambaye alishinda mnada wa ununuzi wa nyumba za Said Lugumi na baadae kuzua kizaa-zaa, alitumwa na…
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka polisi wanawake kupambana na vitendo vya kiuhalifu ikiwemo uchochezi, wizi wa mitandao, ujangili ugaidi na utakatishaji wa fedha haramu. Hayo ameyasema jana Novemba…
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, ameajiriwa katika duka kubwa la bidhaa za majumbani (Supermarket) la Costco lililopo Oakville, Toronto nchini Canada, imebainika.…