HALMASHAURI YA MJI WA BABATI-MANYARA.

Halmsahauri ya mji wa Babati Mkoani Manyara imefanya uhamasishaji kwa wananchi juu ya umhimu wa kushiriki zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura.

Uhamasishaji huo umefanyika kwa njia ya kutembea maeneo ya mji wa babati ambapo viongozi wa halmashauri wameambatana na madereva bodaboda.

Afisa utumishi halmshauri ya mji wa Babati Gasto Silayo amesema lengo la zoezi hilo nikuhakikisha kila mwananchi mwenye sifa anashiriki uchaguzi huo.

Zoezi la uandikishwaji wa daftari la kudumu la mpiga kura katika halmashauri ya mji wa babati litaanza oktoba 11 hadi 20.2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *