Month: March 2020

Corona yaongezeka Kenya

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amethibitisha kisa cha tatu cha maambukizi ya virusi vya corona na kuamuru shule zote zifungwe. Rais Uhuru ameamuru shule zote za kutwa kufungwa kuanzia siku…

Dr. Bashiri Ateta

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt Bashiru Ally, amemuomba aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, aache kutapatapa na kwamba anahitaji kufanyiwa ushauri wa kisaikolojia ili…

Tuhuma kwa Meya – Iringa

Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe amepewa siku tano kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka. Hatua hiyo imefika baada ya wajumbe 19 wa Baraza la Madiwani la…