Uvutaji sigara ni moja ya sababu zinazochangia watu kupata saratani za  koo

 Uvutaji sigara ni moja ya sababu zinazochangia watu kupata saratani za  koo, kinywa  na moyo na kuibebesha Serikali na familia mzigo mzito wa matibabu kwa watu waliopata magonjwa hayo Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, matumizi ya tumbaku huua zaidi ya watu milioni 8 kwa mwaka

Kuna karibu watumiaji bilioni 1.3 wa tumbaku ulimwenguni na zaidi ya 80% yao wanaishi katika nchi za kipato cha chini na cha kati.

kufahamu mengi zaidi unga nami mwanahabari wako BENIGNA FRANCE KUTOKA HAPA RADIO HABARI NJEMA.