Janeth Masaburi Aapishwa Rasmi Kuwa Mbunge
Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuapisha Janeth Masaburi kuwa mbunge. Janeth aliingia bungeni akisindikizwa na wabunge wanawake wa CCM. Rais John Magufuli, Oktoba 21,2017 alimteua Janeth kushika wadhifa huo. Janeth…