Walimu wa Moi Girls wafanyiwa uchunguzi wa DNA Kenya katika kesi ya ubakaji wa mwanafunzi
Image captionMaandamano yamefanyika mjini Nairobi siku ya Jumatatu kulalamika kuhusu tuhuma za ubakaji katika shule ya Moi Girls Nairobi Walimu pamoja na wafanyakazi wengine wakiume katika shule ya upili ya…