Day: March 31, 2019

Uchaguzi ARUMERU Kwa Joshua Nassari

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uchaguzi mdogo katika jimbo la Arumeru Mashariki ni Mei 19, 2019. Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage akizungumza na waandishi wa habari leo…