Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Biharamulo-Kagera yatoa amri
Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya Ya Biharamulo Mkoani Kagera imeapa kuhakikisha wafugaji wote ambao wamekaidi kuondoka katika mapori ya akiba yaliyoko katika wilaya hiyo wanakamatwa na kufunguliwa mashitaka…