Serikali Kuendelea Kuimarisha Upatikanaji Wa Maji Safi Na Salama Nchini
Serikali imedhamiria kuimarisha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi waishio mijini kufikia asilimia 95 na vijijini asilimia 85 ifikapo 2020. Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Rais wa…