Puto Alilowekewa Tumboni Kigogo IPTL Hatarini Kupasuka
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa hali ya kigogo wa IPTL, Harbinder Sethi inazidi kudhoofika na puto alilowekwa tumboni linaweza kupasuka wakati wowote. Hayo yamedaiwa leo mahakamani hapo mbele…