Rais Samia afanya uteuzi wa mkuu wa majeshi ya ulinzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda kufanya kazi kwa kuanza pale alipoishia Jenerali Venance Salvatory Mabeyo…