Onyo kwa Wakurugenzi latolewa na Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaonya Wakurugenzi ambao watanaoesha nia kudai ushuru kufuatia uamuzi wa Serikali, kununua zao la korosho kwa bei elekezi ya…
HabariNjema Fm- Mbulu Manyara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaonya Wakurugenzi ambao watanaoesha nia kudai ushuru kufuatia uamuzi wa Serikali, kununua zao la korosho kwa bei elekezi ya…
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uchaguzi mdogo katika jimbo la Arumeru Mashariki ni Mei 19, 2019. Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage akizungumza na waandishi wa habari leo…
Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2018 ruksa kubadilisha(Combination): Imewekwa Tar.: March 29th, 2019 Serikali imetoa fursa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka 2018 na wanaotegemea kujiunga na kidato…
Image captionMaandamano yamefanyika mjini Nairobi siku ya Jumatatu kulalamika kuhusu tuhuma za ubakaji katika shule ya Moi Girls Nairobi Walimu pamoja na wafanyakazi wengine wakiume katika shule ya upili ya…
Mbunge wa Momba (Chadema), David Salinde amesema Wizara ya Fedha na Mipango ndio adui namba moja wa maendeleo ya Taifa na kushauri Bunge liichukulie hatua ili kutekeleza maagizo yake. Silinde…
Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameitaka serikali kuhakikisha inatekeleza agizo lake la mwishoni mwa mwaka jana kuhusu kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya kuitangaza Dodoma kuwa makao makuu ya nchi…
Marehemu mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita mjini hapa watazikwa katika kaburi moja kesho. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Iringa na Mkuu wa Wilaya…
Watu wanne wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi eneo la makaburi ya Kitwana kata ya Busoka tarafa ya Kahama Mjini wilayani Kahama wakati wakijaribu kuwatoroka askari…
Baba Mtakatifu Francisko amemteua Mheshimiwa Sana Padre Anthony Lagwen kutoka Jimbo Katoliki la Mbulu, kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mbulu, nchini Tanzania. Askofu mteule Anthony Lagwen alizaliwa tarehe…
Mfanyibiashara mmoja kutoka nchini Uganda amewapeleka panya watano katika Kituo cha Polisi cha Kotido Central katika tukio la kushangaza lililowaacha wanakijiji wenzake midomo wazi. Peter Lojok Longolangiro aliwatuhumu ‘watuhumiwa ’…