Mambo matano aliyoyasema JPM Bandarini ikiwemo kupandisha cheo
Leo May 15, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuliamefanya ziara ya kushtukiza bandari ya Dar es salaam na kukagua matanki ya mafuta ya kupikia. Nakusogezea…
HabariNjema Fm- Mbulu Manyara
Leo May 15, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuliamefanya ziara ya kushtukiza bandari ya Dar es salaam na kukagua matanki ya mafuta ya kupikia. Nakusogezea…
Baada ya Yanga kuanza vibaya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi, kocha mkuu wa timu hiyo, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo, amesema kuwa ni lazima washinde…
Baada ya kuwasili nchini jana wakiwa na wachezaji wao wote muhimu kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, uongozi wa Rayon…
MSHAMBULIAJI Mghana, Bernard Arthur amevunja mkataba na klabu ya Azam FC ya Dar es Saalam baada ya nusu msimu tu wa kuwa na timu hiyo ya bilionea Alhaj Sheikh Said…
RAIS MAGUFULI AOMBWA KUIKABIDHI SIMBA SC KOMBE JUMAPILI TAIFA RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kwamba amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John…
Mke wa Rais Donald Trump, Melania Trump amefanyiwa upasuaji wa figo katika hospitali ya Walter Reed Medical Center. Kwa mujibu wa msemaji wa Melania, Stephanie Grisham amesema upasuji huo umekuwa…
Kiongozi wa kundi la waasi la Allied democratic forces Jamil Mukulu, amefikishwa Mahakamani Kuu inayohusika na uhalifu wa kimataifa mjini Kampala, Uganda, Jumatatu miaka 3 baada ya kukamatwa nchini Tanzania.…
Marekani imeufungua rasmi ubalozi wake Jerusalem huku Wapalestina zaidi ya 40 wakiuawa na wengine wakijeruhiwa kwenye mapambano na askari wa Israel katika harakati za kuipinga hatua hiyo. Hatua ya Marekani…
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi ameziagiza familia za askari waliouawa wakilinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kumaliza haraka taratibu za mirathi. Pia,…
Nchini Kenya kumekuwa na mjadala mkubwa juu ya ugavi wa mali pindi wanafamilia wanapopeana talaka, jambo kubwa likiwa ni iwapo wanandoa wanatakiwa kugawana mali nusu kwa nusu wanapoachana kwa talaka…