SADC yaanza upatanishi
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imeanza upatanishi kati ya pande husika katika mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Makubaliano ya Saint-Sylvestre na utekelezaji…
Mwili Dkt. Elly Macha waagwa leo katika viwanja vya Bunge
Bunge la Tanzania leo limesitisha shughuli zake ili kuweza kutoa fursa kwa waheshimiwa wabunge waweze kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Chadema Dkt. Elly Macha aliyefariki dunia katika…
TAKUKURU – Rukwa,yafanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi Milioni 71
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa ya TAKUKURU mkoani Rukwa,imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi Milioni 71,baada ya kufuatilia mchezo mchafu uliokuwa ukiendelea kwenye Halmashauri zote nne za mkoa huo,…
Walimu 22,993 kutoka Mikoa 26 ya Tanzania Bara wamenufaika na mafunzo ya mtaala mpya
Walimu 22,993 kutoka mikoa 26 ya Tanzania bara wamenufaika na mafunzo ya mtaala mpya na uimarishaji wa ufundishaji wa stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu kwa walimu wa somo la hisabati…
Vyanzo vya Maji vya Mto Ruaha Mkuu vyaisaidia TANESCO
Shirika la umeme Tanzania TANESCO limesema kuwa utunzaji wa vyanzo vya maji vya mto Ruaha Mkuu ambavyo vinapatikana wilaya za Wanging’ombe na Makete Mkoani Njombe unasaidia kuongeza Maji yanayohitajika katika…
Madereva na abiria wa pikipiki wilayani Mbulu wameusiwa kuvaa Helmet
Wananchi wilayani mbulu mkoani manyara hususani dereva na abiria wa pikipiki wameaswa kuvaa element ili kujikinga na ajali ambazo mara nyingine hupelekea vifo vinavyosababisha upungufu wa nguvu kazi ya taifa…
Wanasiasa wawili mashuhuri wa upinzani nchini Zimbabwe kumpindua Mugabe
Wanasiasa wawili mashuhuri wa upinzani nchini Zimbabwe wamekubaliana kuungana dhidi ya Rais Robert Mugabe. Morgan Tsvangirai na Makamu wa Rais wa zamani Joice Mujuru wamesema watashirikiana pamoja kwenye uchaguzi mkuu…
Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA kutoa Mgombea
Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA umesema kuwa utamtangaza atakayeshikilia bendera yake ya urais mnamo tarehe 27 mwezi Aprili 2017. Akizungumza katika mkutano wa kumlaki gavana wa kaunti ya Bomet…
Serikali yatakiwa kuboresha huduma katika Vituo vya Afya na Hospitali za Rufaa
Serikali imetakiwa kuboresha huduma katika vituo vya afya na hospitali za rufaa ili kupunguza msongamano katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kutokana na wagonjwa wengi kukimbilia hospitalini hapo. Hayo yamebainishwa…
Rais Dk. John Magufuli anatarajiwa kufungua kongamano la maadili
RAIS Dk. John Magufuli anatarajiwa kufungua kongamano la maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza kwa niaba ya Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu Aboubakar Zuberi Mwenyekiti wa…