Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Biharamulo-Kagera yatoa amri
Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya Ya Biharamulo Mkoani Kagera imeapa kuhakikisha wafugaji wote ambao wamekaidi kuondoka katika mapori ya akiba yaliyoko katika wilaya hiyo wanakamatwa na kufunguliwa mashitaka…
Waziri Mkuu afanya ziara kwenye mgodi wa dhahabu wa Buzwagi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara kwenye mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na kuchukua sampuli za mchanga katika makontena mbalimbali kwa lengo la kwenda…
Serikali wilayani Kiteto Mkoani Manyara yaanza msako
Serikali Wilayani Kiteto Mkoani Manyara imeanza msako wa kuwasaka watoto ambao hawajapelekwa shuleni ili waweze kupatiwa haki yao ya kimsingi. Katibu tawala wa Wilaya ya kiteto, Ndaki Stefano amesema kwa…
Misaada yaendelea Peru
Misaada mbalimbali ya kibinadamu imeanza kuwafikia watu wanaokabiliwa na mahitaji mbalimbali, baada ya nchi ya PERU kukumbwa na mafuriko mabaya zaidi kuliko yote kuwahi kutokea nchini humo miongo miwili iliyopita.…
Watu takriban 20 wamefariki dunia -Kintampo, Ghana
Watu takriban 20 wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa baada ya mti mkubwa kuwaangukia wakiogelea katika maporomoko ya maji eneo la Kintampo, Ghana. Watu hao walikuwa wakiogelea pale upepo mkubwa…
Kamati za bunge zaanza vikao vyake mjini Dodoma
KAMATI za Kudumu za Bunge zimeanza shughuli zake mjini Dodoma hadi Aprili 2, mwaka huu kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Saba wa Bunge Aprili 4. Serikali wiki ijayo itawasilisha…
Rais Magufuli amtaka Makonda kuendelea kuchapa Kazi
Rais John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuendelea kuchapa kazi na kwamba yeye hafanyii kazi maneno ya kwenye mitandao Ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi…
Msiba wa Diwani – Mbulu
Wananchi wa wilaya ya MBULU mkoani MANYARA wameeleza kusikitishwa na kifo cha diwani wa viti maalumu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMABi SUZAN MIGIRE aliyefariki dunia tarehe 19 march…