Clouds Kumsimamisha kazi mfanyakazi wake kwa kuandika habari za Makonda
Bodi ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) imekutana jijini Dar es Salaam leo Machi 30, 2017. Pamoja na mambo mengine imejadili mwenendo wa vyombo vya habari ndani ya wiki moja…
Wananchi wilayani Mbulu Mkoani Manyara watakiwa kujiunga-PPF
Wananchi wilayani mbulu mkoani manyara wametakiwa kujiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii PPF kwa mafao ya uzeeni na afya . Akizungumza na redio habari njema mkuu wa wilaya ya…
Halmashauri-Mbulu imetangaza Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Mitaa Mitatu
Halmashauri ya mji wa Mbulu imetangaza matokeo ya uchaguzi mdogo wa mitaa mitatu uliofanyika hivi karibuni kujaza nafasi zilizoachwa wazi baada wa viongozi hao kujihuzulu. Akizungumza na kituo hiki kaimu…
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam, yamuachia huru Mbunge wa Kilombero-Chadema
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam, imemuachia huru mbunge wa Kilombero kupitia chama cha demockrasia na maendeleo (Chadema) Peter Lijualikali. Lijualikali amekutwa hana hatia katika kesi hiyo ambayo alihukumiwa…
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya wilaya ya Moshi laazimia jambo
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro wameazimia kwa pamoja kupitiwa upya kwa mchakato wa kuwepo kwa jiji la Moshi ambalo litahusisha baadhi ya vijiji wilayani…
Maafisa uhamiaji-Uganda wamevamia makao ya kampuni moja ya ujenzi ya China
Maafisa wa uhamiaji nchini Uganda wamevamia makao ya kampuni moja ya ujenzi ya China, na kuwakamata raia 28 wa Uchina kwa madai kuwa wanaishi na kufanya kazi nchini humo kinyume…
Kenya yawasailisha Bajeti yake ya 2017-2018.
Waziri wa fedha Henry Rotich anakwenda bungeni na Bajeti ya Shilingi za Kenya Trilioni 2.6, ikiwa ndio bajeti kubwa zaidi kushuhudia nchini humo. Hii ndio mara ya kwanza kwa bajeti…
India kufanya uchunguzi kuhusu waafrika kushambuliwa
Waziri wa mambo ya nje wa India Sushma Swaraj, ameomba kufanyika kwa uchunguzi kufuatia tuhuma za kushambuliwa kwa Waafrika katika jimbo la Uttar Pradesh. Wanafunzi wane kutoka Nigeria wanauguza majeraha…
Kiongozi mwanaharakati Ahmed Kathrada afariki dunia
Kiongozi mwanaharakati aliyeshiriki kupigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Ahmed Kathrada amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87, wakfu wake umetangaza. Bw Kathrada alifariki…
Waziri January Makamba awapa matumaini wafugaji-Monduli
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )January Makamba amesema Monduli ni moja ya wilaya zitakazonufaika na mradi wa kuhimili mabadiliko ya tabia nchi ili kuwasaidia…