Spika wa Bunge la Afrika Kusini ateta na Wapinzani
Spika wa Bunge nchini Afrika Kusini Baleka Mbete, amesema atafikiria na kufanya uamuzi kuhusu ombi la vyama vya upinzani nchini humo kutaka kuwasilisha mswada wa kukosa imani na rais Jacob…
Tume ya Uchaguzi nchini Kenya yatoa kauli
Tume ya Uchaguzi nchini Kenya imesema ndio yenye mamlaka ya kujumuisha na kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu nchini humo. Kauli hii imetolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Wafula Chebukati baada…
Watu 10 wafariki dunia nchini Urusi
Watu 10 wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya kutokea kwa shambulizi katika kituo cha kupanda treni cha chini ya ardhi cha mjini St. Petersburg, nchini Urusi. Taarifa zinasema shambulizi hilo lilitokea…
MKUU wa Wilaya ya Hanang’ atoa onyo
MKUU wa wilaya ya Hanang, Mkoani Manyara, Bi Sara Msafiri amepiga marufuku kufanya shughuli za kibiashara za mazao nje ya soko la Kimataifa la ENDAGAW. Mkuu wa wilaya hiyo ametoa…
Wanaume na wanawake wametakiwa kushirikiana katika vya vikoba
Wanaume na wanawake wametakiwa kushirikiana katika vikundi vya vikoba ili kujiimarisha kiuchumi . Kauli hiyo imetolewa na wananchi katika kata ya BASHNET walipokuwa wakipozungumza baada ya kutembelewa na idara ya…
SUMATRA yatoa maelekezo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri majini na nchi na kavu (SUMATRA) Gilliard Ngewe amesema huduma za usafirishaji wa abiria na mizigo nchini zitaendelea kama kawaida hapo kesho. Hatua hiyo…
Wananchi Wilayani Mbulu wametakiwa kushirikiana na viongozi wao
Wananchi wametakiwa kushirikiana na viongozi wao katika juhudi za kuleta maendeleo. Ameyasema hayo Diwani wa kata ya Sanu wilayani Mbulu Africanus Mmao na kusema kuwa wananchi wamesahau kujishughilisha na mambo…
Dr Wilbroad Slaa kurudi nchini baada ya kukaa nje na kutoa waraka mzito kwa wanasiasa.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye kwa sasa anaishi nje ya nchi, Willbrod Slaa amesema anajitathmini kwa kile kilichomfanya aondoke hapa nchini na familia yake…
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn anatarajiwa kuwasili nchini kesho
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn anatarajiwa kuwasili nchini kesho, Machi 31 kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.…
Serengeti Boys yafanya kufuru kaitaba
TIMU ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Burundi jioni ya leo Uwanja wa Kaitaba, Bukoba…