Waendesha bodaboda na baiskeli, wapewa onyo kali
Waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda na baiskeli, kuanzia leo wamepigwa marufuku kusafirisha mazao ya misitu kama vile mkaa na mbao kwa kutumia vyombo hivyo, na watakaokiuka watachukuliwa hatua za kisheria.…
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Raymond Saba na Ijumaa Kuu
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Raymond Saba amesema Ijumaa Kuu ni siku muhimu ambayo waumini wa kanisa hilo wanakumbuka fumbo la ukombozi kupitia mateso ya Yesu…
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu -Cherestino Mofuga anatarajiwa kuzindua Saccoss ya wanawake
Mkuu wa wilaya ya mbulu mkoani manyara Cherestino Mofuga anatarajiwa kuzindua Saccoss ya wanawake wilayani humo kwa lengo la kuendeleza kuimarisha uchumi wa wanawake. Akizungumza na kituo hiki mwenyekiti wa…
Askari Polisi wanane wauawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha
Rais John Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya Askari Polisi wanane waliouawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha jana jioni katika eneo la Jaribu Mpakani,…
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumteua waziri mkuu
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo anatarajiwa kumteua Waziri Mkuu, licha ya upinzani ambao ulipaswa kutoa jina hilo, kugawanyika, juu ya nani atakayeteuliwa. Mpaka sasa upinzani…
Maandamano ya wapinzani Afrika Kusini yapamba moto
Maandamano ya vyama vya upinzani Afrika kusini pamoja na kundi linalojiita Save South Africa yameanza katika kumshinikiza Rais Jacob Zuma ang’atuke madarakani. Maandamano hayo yamepangiwa kufanyika nchi nzima. Wanajeshi wa…
Jumla ya watoto 269 wenye umri chini ya miaka mitano hufariki dunia kila siku nchini
Jumla ya watoto 269 wenye umri chini ya miaka mitano hufariki dunia kila siku nchini. Pia wajawazito 556 hufariki dunia pia kutokana na matatizo ya uzazi. Hayo yamesemwa leo mjini…
Vijana 32 wapatiwa mafunzo ya usindikaji vyakula na vinywaji-Hanang’
Vijana 32 waliopatiwa mafunzo ya usindikaji vyakula na vinywaji wilayani Hanang’ mkoani Manyara wamesema ujuzi huo utawawezesha kuanzisha miradi midogo ya usindikaji na kujikwamua kiuchumi. Mafunzo hayo yameendeshwa na Shirika…
Watanzania wameadhimisha kumbukumbu ya miaka 45-Karume Day
Watanzania wameadhimisha kumbukumbu ya miaka 45 baada ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Karume ambaye alizaliwa mwaka 1905 na alifariki dunia siku kama…
Serikali imeahidi kutopoke amradi wa barabara ya Manyara- Dodoma
Serikali imeahidi kutopoke amradi wa bara bara ya Manyara- Dodoma inayojengwa kwa kiwango cha lami endapo mkandarasi atashindwa kutimiza ujenzi kwa kiwango kama walivyokubaliana kwenye mkataba wao. Akiwa katika ziara…