Mkuu wa wilaya ya mbulu mkoani manyara Cherestino Mofuga anatarajiwa kuzindua Saccoss ya wanawake wilayani humo kwa lengo la kuendeleza kuimarisha uchumi wa wanawake.
Akizungumza na kituo hiki mwenyekiti wa sacoss ya wanawake wilayani mbulu bi Sophia Silvini Amesema wanataria kuzindua sacos hiyo siku ya jumatatu …..
Aidha Sophia Silvini Amesema kuwa sacoss hiyo itawanufaisha wanawake wengi ili kujikwamua kiuchumi.
Sophia Amewatawaka wanawake kujitokeza kwa wingi ili wajumuike kwa pamoja na wapate manufaa kiuchumi.