Vyama vya kisiasa nchini Algeria vyaja na mpya
Vyama vya kisiasa nchini Algeria vimeridhia kuweka picha za wagombea wa kike kwenye mabango yake. Vyama vingi vimekua vikiweka picha za mitandio bila kuwepo na uso wa mgombea. Hata hivyo…
HabariNjema Fm- Mbulu Manyara
Vyama vya kisiasa nchini Algeria vimeridhia kuweka picha za wagombea wa kike kwenye mabango yake. Vyama vingi vimekua vikiweka picha za mitandio bila kuwepo na uso wa mgombea. Hata hivyo…
Zimbabwe inasherehekea miaka 37 tangu kupata uhuru chini ya rais Robart Mugabe mwenye unmri wa miaka 93. Maadhimisho hayo yanafanyika kipindi ambacho Zimbabwe inakabiliwa na kushuka thamani kwa pesa yake…
Wito umetolewa kwa watendaji wa Mamlaka ya Maji safi Jijini Dar es Salaam (DAWASCO) kuongeza nguvu katika usambazaji wa huduma hiyo kwa wananchi kuliko kuwekeza katika Uzalishaji kama ilivyo sasa.…
Sakata la watumishi wa umma kugushi vyeti vya elimu limezidi kuchukua sura mpya na sasa wamefikia zaidi ya 10,000. Hatua hiyo, inatokana na uhakiki uliofanywa na Sekretarieti ya Ajira katika…
Mtu mmoja mwanaume amefariki dunia papo hapo,huku wengine 27wakijeruhiwa baada ya Gari aina ya Eacher ambayo walikuwa wakisafiria kugonga treni katika maeneo ya Kamata wilaya ya Ilala Jijini Dar es…
Rais John Magufuli amesema kati ya madaktari 500 walioonyesha nia ya kwenda kufanya kazi nchini Kenya watachaguliwa 258 na kuajiriwa na serikali ya Tanzania mara moja kuanzia sasa. Taarifa iliyotolewa…
Wananchi wilayani Mbulu mkoani Manyara wametakiwa kutokuwa na hofu yeyote baada ya wagonjwa wa kifua kikuu {TB}kuchanganywa katika wodi ya wagonjwa wengine katika hospitali ya wilaya hiyo. Hayo yamesemwa na…