Wafanyakazi wa Mochwari Watiwa Mbaroni kwa Kuiba Kete 32 za Dawa za Kulevya
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amefunguka kuwa wahudumu wa mochwari ya Mwananyamala wameiba jumla ya kete 32 za dawa za kulevya zilizokuwa kwenye mwili…
Wahujumu uchumi walitaka kumhonga Rais Magufuli Bilioni 300, uchunguzi Makinikia
Ikiwa imepita siku mbili tangu Rais John Magufuli kueleza kuwa kwa sasa nchi iko katika vita ya uchumi na kwamba ana majina ya watu waliotaka kuingilia na kuharibu uchunguzi wa…
Acacia Wataka Uchunguzi Huru Mchanga Wa Dhahabu……Watishia Kuchukua Hatua Kuhakikisha Hawapati Hasara
Kampuni ya Acacia imesema ripoti kuhusu mchanga wa dhahabu aliyopewa Rais John Magufuli Jumatano ya wiki hii imejaa upotoshaji wa hali ya juu na imependekeza kufanyika kwa uchunguzi mpya ambao…
Wauawa kwa kuwalinda wanawake Waislamu Marekani
Haki miliki ya pichaCBS/EVNImage captionPolisi wanasema mwanamume aliyekuwa akitukana, aliwageukia wanaume hao waliojaribu kuingilia kati Polisi katika mji wa Portland nchini Marekani, wanasema wanaume wawili waliuawa, walipojaribu kumzuia mwanamume aliyewatukana…
Marekani kufanya majaribio ya kudungua kombora
Idara ya jeshi nchini Marekani kwa mara ya kwanza itajaribu kudungua kombora la masafa marefu lililo na uwezo wa kufyatuliwa kutoka bara moja hadi bara lingine. Maafisa wa Pentagon wanasema…
Tundu Lissu Akomalia Vyeti FEKI Vya Bashite……..Aungana na Wanasheria Wenzake Kufungua Kesi Mahakamani
Wakili Tundu Lissu na wenzake wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wamelikomalia vilivyo sakata maarufu la Bashite linalohusiana na tuhuma za kughushi vyeti vya kielimu linalomkabili mmoja wa wakuu wa…
Rais Dkt. Magufuli aahidi neema kwa wafanyakazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe Mosi Mei, 2017 amesema Serikali ya Awamu ya tano imepanga kufanya nyongeza ya kawaida ya kila mwaka…
Watoto 20 wafariki dunia Afrika Kusini
akriban watoto 20 wamefariki katika ajali ya barabarani katika mkoa wa Mpumulunga nchini Afrika Kusini kaskazini mwa mji mkuu wa Pretoria. Kulingana na chombo cha habari cha Reuters, basi dogo…
Upinzani waanzishwa upya Ivory Cost
Nchini Ivory Cost upinzani umeanzisha toka siku ya Alhamisi, Aprili 20, muungano mpya. Vyama vinne pamoja na vyama vingi vya wafanyakazi na mashirika ya kiraia yameunda muungano mpya (ESD) Georges…