Mwili wa Askofu Castory Msemwa wa Jimbo Katoliki la Tunduru Masasi umeagwa leo jijini Dar es Salaam.
Mwili wa Askofu Castory Msemwa wa Jimbo Katoliki la Tunduru Masasi umeagwa leo jijini Dar es Salaam. Askofu Msemwa alifariki dunia Oktoba 19,2017 mjini Muscat nchini Oman akiwa safarini kwenda…
Mahakama nchini kenya yatoa yatoa tamko kuhusu uchaguzi
Mahakama ya juu nchini Kenya itatoa uamuzi wa muda wa mwisho kuamua iwapo marejeleo ya uchaguzi wa urais yanaweza kufanyika siku ya Alhamisi. Mahakama hiyo itasikiliza ombi la dharura siku…
TCU yatoa tamko
Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Profesa Eleuther Mwageni amesema wanafunzi wenye vigezo vya kujiunga na elimu ya juu wanatakiwa kuripoti chuoni Oktoba 30 ili kuanza…
Mwenyekiti wa mtaa-Tanesco Wilayani Mbulu, Manyara
Mwenyekiti wa mtaa wa Tanesco wilayani mbulu mkoani manyara Joseph Paul ametoa wito kwa wakazi wote wa mtaa huo kulinda mazingira yao. Akizungumza na kituo hiki,Bw Paul ni vyema wananchi…
Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan na viwanda nchini
Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya Tanzania imedhamiria kuanzisha na kukuza viwanda ili kukidhi mahitaji ya wananchi. Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Umoja wa Mataifa Duniani…
Mwili wa Askofu Castory Msemwa wa Jimbo Katoliki la Tunduru Masasi waagwa
Mwili wa Askofu Castory Msemwa wa Jimbo Katoliki la Tunduru Masasi umeagwa leo jijini Dar es Salaam. Askofu Msemwa alifariki dunia Oktoba 19,2017 mjini Muscat nchini Oman akiwa safarini kwenda…
Picha za CCTV zinazomuonyesha Salman Abedi usiku aliofanya shambulizi katika ukumbi wa Manchester na kuwaua watu 22 zimetolewa.
Picha za CCTV zinazomuonyesha Salman Abedi usiku aliofanya shambulizi katika ukumbi wa Manchester na kuwaua watu 22 zimetolewa. Maeneo 14 yanasakwa na wanaume 11 wamekamtwa kwa kushukiwa kuhusika katika ugaidi.…
Katika michezo:Dortmund yashinda kwa mabao 2:1 dhidi ya Eintracht Frankfurt
Borussia Dortmund imeshinda kwa mara ya nne katika historia ya klabu hiyo kombe la shirikisho, DFB Pokal. Dortmund BVB iliishinda timu ya Eintracht Frankfurt kwa mabao 2-1 (1-1). Katika mechi…
Merkel hakuridhishwa jinsi mkutano wa G7 ulivyomalizika.
Mkutano wa viongozi wa nchi 7 zilizoendelea kiuchumi umemalizika katika kisiwa cha Sicily nchini Itallia huku hali ya kutokuelewana viongozi hao ikijitokeza. Kwa mujibu wa wanadipliomasia rais wa Marekani Donald…