Dr Slaa Aajiriwa Kwenye Duka la SuperMarket Canada
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, ameajiriwa katika duka kubwa la bidhaa za majumbani (Supermarket) la Costco lililopo Oakville, Toronto nchini Canada, imebainika.…
Janeth Masaburi Aapishwa Rasmi Kuwa Mbunge
Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuapisha Janeth Masaburi kuwa mbunge. Janeth aliingia bungeni akisindikizwa na wabunge wanawake wa CCM. Rais John Magufuli, Oktoba 21,2017 alimteua Janeth kushika wadhifa huo. Janeth…
Nape: CCM ikikataa kuambiwa ukweli ndiyo mwanzo wa kuanguka
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ameonya kuwa endapo chama hicho hakitataka kuambiwa ukweli na kukosolewa, utakuwa mwanzo wa kuanguka kwake. Nape aliyewahi kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa…
Magufuli: Tanzania sio shamba la kuchungia mifugo wa taifa jirani
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesisitiza kuwa serikali yake itaendelea kuwakamata mifugo watakaoingia nchini humo kutoka taifa jirani. Akizungumza katika mkoa wa Kagera ambako ameanza ziara yake ya kikazi…
habarinjemafm.org/wp-admin
Image captionShambulizi nchini Marekani baisikeli na miili ya watu ilitapakaa ardhini Meya wa mji wa New York, Bill De Blasio, amearifu kwamba watu 8 wamefariki dunia na zaidi ya 12…
MISA YA KUMUAGA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA TUNDURU-MASASI MAREHEMU CASTOR PAUL MSEMWA YAFANYIKA KATIKA KANISA KATOLIKI LA BARAZA LA MAASKOFU JIJINI DAR ES SALAAM
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara…
Askofu Castory Msemwa wa Jimbo Katoliki Tunduru- Masasi afariki dunia
Jimbo Katoliki Tunduru Masasi nchini Tanzania linasikitika kumpoteza mpendwa wao Baba Askofu Castory Msemwa aliyefariki tarehe 19 Oktoba 2017, saa 7 mchana nchini Oman. Kwa mujibu wa Makamu wa Askofu…
Papa:Tambua vema kiini cha Fumbo la Yesu Kristo Msulibiwa kwa ajili yako
Kiini cha fumbo la Yesu Kristo ni kwamba alinipenda na kujitoa yeye mwenyewe afe kwa ajili yangu. Ni manano ya Baba Mtakatifu Francisko aliyo yatoa wakati wa mahubiri ya Siku…
Wakenya 3 waenda mahakamani kusitisha uchaguzi
Image captionMahakama ya juu nchini Kenya Mahakama ya juu nchini Kenya itatoa uamuzi wa muda wa mwisho kuamua iwapo marejeleo ya uchaguzi wa urais yanaweza kufanyika siku ya Alhamisi. Mahakama…
Xi Jinping: Kiongozi mwenye nguvu zaidi nchini China tangu kipindi cha Mao Zedong’
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionBw Xi alishiriki kupiga kura Jumanne Chama cha Kikomunisti nchini China kimepiga kura kujumuisha falsafa zake Xi Jinping katika katiba na kumuinua hadi kifikia kiwango alichokuwa…