Polisi Dar Yatoa ONYO Kwa Waliopanga Kuandamana
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewataka wananchi wote kuendelea na shughuli zao kama kawaida kwa kuwa maandamano yanayozungumzwa hayapo na ni batili. Akizungumza leo Jumatano Aprili…
Puto Alilowekewa Tumboni Kigogo IPTL Hatarini Kupasuka
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa hali ya kigogo wa IPTL, Harbinder Sethi inazidi kudhoofika na puto alilowekwa tumboni linaweza kupasuka wakati wowote. Hayo yamedaiwa leo mahakamani hapo mbele…
Mbunge Aichambua Ndege ya Emirates iliyotua Nchini
Mbunge wa Ulanga (CCM), Goodluck Mlinga amesema ndege aina ya Airbus 380, EK701 ya Shirika la Ndege ya Emirates si ya kwanza yenye ukubwa huo kutua nchini kama inavyodaiwa na…
Maandamano huko Kiongozi,Maisaka Babati
Wakaazi wa kijiji cha Kiongozi kata ya Maisaka mjini Babati wamekataa maadhimio ya halmashauri ya kijiji katika kikao kilichofanyika tarehe 12 mwezi wa nne mwaka 2018 chini ya mwenyekiti wa…
Askofu Isaac A. Massawe ateuliwa kuwa Askofu mkuu Jimbo kuu la Arusha
Baba Mtakatifu Francisko amekubali ombi lililowasilishwa kwake na Askofu mkuu Josephat Louis Lebulu wa Jimbo kuu la Arusha, Tanzania la kung’atuka kutoka madarakani. Wakati huo huo, Baba Mtakatifu amemteua Askofu…
Sethi ataka kutibiwa na daktari wa Afrika Kusini
Dar es Salaam. Mawakili wa Harbinder Sethi wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mteja wao atibiwe na daktari maalumu kutoka Afrika Kusini. Wamesema baada ya mteja wao kufanyiwa vipimo katika…
Trump: Hatutakubali biashara inayowapendelea wengine
Image captionRais Trump amesema kuwa Marekani imejiandaa kushirikiana na mataifa ya Apec iwapo kutakuwa na bishara yenye kutopendelea upande wowote. Rais Donald Trum wa Marekani amesema kuwa Marekani haitavumilia biashara…
Dr John Magufuli ameahidi kuimarisha mahusiano mazuri yaliyopo kati ya Tanzania na Uganda.
Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli ameahidi kuimarisha mahusiano mazuri yaliyopo kati ya Tanzania na Uganda. Raisi Magufuli ametoa ahadi hiyo nchini Uganda wakati akizungumza katika…
Polisi: Mnunuzi wa nyumba za Lugumi alitumwa na Lugumi Mwenyewe
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa Dk. Louis Shika ambaye alishinda mnada wa ununuzi wa nyumba za Said Lugumi na baadae kuzua kizaa-zaa, alitumwa na…
Makamu wa Rais Samia awataka polisi wa Kike kupambana na ugaid, uchochezi na wizi wa mitandao
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka polisi wanawake kupambana na vitendo vya kiuhalifu ikiwemo uchochezi, wizi wa mitandao, ujangili ugaidi na utakatishaji wa fedha haramu. Hayo ameyasema jana Novemba…