Sheria yawabana wanandoa Kenya, Hakuna kugawana 50/50 Mkiachana
Nchini Kenya kumekuwa na mjadala mkubwa juu ya ugavi wa mali pindi wanafamilia wanapopeana talaka, jambo kubwa likiwa ni iwapo wanandoa wanatakiwa kugawana mali nusu kwa nusu wanapoachana kwa talaka…
TMF YATOA NENO KWA VYOMBO VYA HABARI
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Media Foundation Bi Fausta Musokwa amevitaka Vyombo vya Habari vinavyofadhiliwa na TMF kufanya kazi kwa Kuzingatia Ubora wa Vipindi,Mikakati ya Upatikanaji na Matumizi ya Fedha na…
Wananchi Watishia ‘Kumuua’ Mwalimu Mkuu, Wanamtuhumu Kuwachapa Wanafunzi na Kuwalimisha Shamba Lake
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wazazi wa kata tatu wilayani hapa Mkoa wa Mara, wamemtaka mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Nyanungu, Otieno Nicholaus kuchagua kuhama au kupoteza maisha. Kauli…
Wauguzi Manyara waomba kuboreshewa mazingira ya kazi
NA WILIAM LALIYO MANYARA wauguzi mkoani Manyara wameadhimisha siku ya Wauguzi duniani katika Tarafa ya Hydom ambapo wamezungumzia suala la kuboreshewa mazingira yao ya kazi. Akizungumza katika maadhimisho hayo mwenyekiti…
TANZANIA YATINGA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA RUSSIA
Na Mwanamichezo wiliam lalIyo Mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto yameendelea tena leo mjini Moscow nchini Urusi katika uwanja wa klabu ya Lokomotive Moscow ambapo michezo ya nusu fainali…
Breaking News: Lulu Michael Yupo Huru……Kabadilishiwa Adhabu na Kupewa Kifungo Cha Nje
Mcheza filamu, Elizabeth Michael maarufu Lulu amebadilishwa kifungo na sasa atatumikia adhabu hiyo akiwa nje yaani ‘kifungo cha nje’. Lulu, alishtakiwa kwa kesi ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa muigizaji maarufu…
Mkuu wa Wilaya ya Temeke aibiwa gari nyumbani kwake
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaviva, ameibiwa gari lake na watu wanaosadikiwa majambazi, nyumbani kwake Toangoma, jijini Dar es Salaam. Lyaviva amesema ameshangazwa na wezi hao kupata ujasiri wa…
Serikali yatolea ufafanuzi zuio la kufanya siasa
Serikali kupitia Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde,imesema kwamba haijaweka zuio kwa vyama vya siasa kufanya siasa, bali kuna sheria ambazo zinapelekea kutokea kwa ahli hiyo.…
karatu mimba zaongezeka sekondari
Akizungumza katika mkutano wa baraza la madiwani Bw Mnyenye amesema wazazi wengi wanasababisha wanafunzi kupata mimba kutokana na kupoteza ushahidi pale mtuhumiwa anaposhitakiwa. Kwa Upande wake Afisa elimu sekondari Bw:…
Wakunga wa hospitali ya Halmashauri ya mji wa Mbulu waiomba serikali kuboresha Mazingira yao ya kazi na kuongezewa vitendea kazi kwa kazi yao.
Akizungumza na kituo hiki Muuguzi kutoka hospitali ya mjii wa mbulu Bi. Anna Bonifasi amesema ni vyema serikali iangalie hali ya kuongeza wakunga katika hospitali kwani ni wao ni wachache…