Panya watano wafikishwa polisi kwa kula pesa

Mfanyibiashara mmoja kutoka nchini Uganda amewapeleka panya watano katika Kituo cha Polisi cha Kotido Central katika tukio la kushangaza lililowaacha wanakijiji wenzake midomo wazi. Peter Lojok Longolangiro aliwatuhumu ‘watuhumiwa ’…

Mke wa Trump afanyiwa upasuaji wa figo

Mke wa Rais Donald Trump, Melania Trump amefanyiwa upasuaji wa figo katika hospitali ya Walter Reed Medical Center. Kwa mujibu wa msemaji wa Melania, Stephanie Grisham amesema upasuji huo umekuwa…