Uchaguzi ARUMERU Kwa Joshua Nassari

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uchaguzi mdogo katika jimbo la Arumeru Mashariki ni Mei 19, 2019. Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage akizungumza na waandishi wa habari leo…

Mapacha walioungana kuzikwa kaburi moja

Marehemu mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita mjini hapa watazikwa katika kaburi moja kesho. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Iringa na Mkuu wa Wilaya…

JIMBO KATOLIKI LA MBULU LAPATA ASKOFU MPYA

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Mheshimiwa Sana Padre Anthony Lagwen kutoka Jimbo Katoliki la Mbulu, kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mbulu, nchini Tanzania. Askofu mteule Anthony Lagwen alizaliwa tarehe…