Taarifa Kwa Umma Toka Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Kuhusu Zoezi La Kupitia na Kufanya Uamuzi wa Rufaa za Wagombea Ubunge
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na zoezi la kupitia, kuchambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa Wasimamizi mbalimbali wa Uchaguzi nchi nzima. Kifungu…
Waziri Mkuu Mstaafu Pinda azindua Kampeni za Ccm Babati Mjini, amnadi Gekul.
Mlezi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Manyara, Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda amewataka watanzania waendelee kukiamini chama hicho kwa kuwapigia kura Madiwani,Wabunge na…
Corona yaongezeka Kenya
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amethibitisha kisa cha tatu cha maambukizi ya virusi vya corona na kuamuru shule zote zifungwe. Rais Uhuru ameamuru shule zote za kutwa kufungwa kuanzia siku…
Dr. Bashiri Ateta
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt Bashiru Ally, amemuomba aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, aache kutapatapa na kwamba anahitaji kufanyiwa ushauri wa kisaikolojia ili…
Tuhuma kwa Meya – Iringa
Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe amepewa siku tano kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka. Hatua hiyo imefika baada ya wajumbe 19 wa Baraza la Madiwani la…
Tuzo Nyingine kwa Dkt. Magufulu
Shirika lisilo la Kiserikali la Kuinua Diplomasia ya Uchumi Tanzania (TEDEF) limetambua juhudi na kuthamini kazi anazofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. John Pombe Magufuli kuhakikisha azma…
Sumaye Ang’atuka
Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye leo Desemba 4, 2019 ametangaza kuondoka CHADEMA. Akiongea leo kwenye mkutanao wake na waandishi wa Habari, Sumaye amesema ameamua kufanya hivyo kutokana na figisu alizofanyiwa…
RPC Manyara atembelea Ofisi za Radio Habari Njema
Furahia matukio katika picha ambapo leo Tarehe 6 -04-2019,Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Augustino Senga amefika Redio Habari Njema na kuzungumzia masuala mbalimbali ya hali ya usalama katika Mkoa…
Ujumbe wa Papa Francis: Mungu anawapenda , Kanisa linawahitaji
Kristo ni hai na anataka uwe hai! “Mstari wa ufunguzi wa Ushauri wa Mitume uliweka sauti na maudhui ya ujumbe wa Papa. Lakini mistari ya kufungwa ni nini kufanya hati…