Utunzaji wa mazingiza Tarafa ya Daudi Mbulu Mkoani Manyara
Jamii imeshauriwa kupanda miti kwa wingi ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwani shughuli za binadamu ndizo zinazochangia pa kubwa uharibifu wa mazingira. Kufahamu zaidi kuhusu hilo mwanahabari…
UZINDUZI WA MFUMO MPYA WA KUTUMA MAOMBI YA UMEME
Wananchi Wilayani Mbulu Mkoani Manyara wametakiwa kutuma maombi ya umeme kwa njia ya mtandao ambayo inarahisisha upatikanji wa huduma hiyo. Hayo yamesemwa na meneja wa TANESCO wilaya ya Mbulu Mhandisi…
mbunge mbulu vijijini aruka sarakasi kudai barabara ya lami.
Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay ameruka sarakasi bungeni ikiwa ni kuonyesha msisitizo wa hoja yake kuwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imekuwa ikitoa ahadi ya ujenzi wa barabara…
utunzaji wa ziwa tlawi
Karibu msikilizaji katika kipindi cha Mazingira Nyumba yetu, leo tunajadili kuhusu utunzaji wa ziwa Tlawi lilipo Mbulu Mkoani Manyara. Kufahamu mengi zaidi unagana nami mtangazaji wako Benigna France.
Jamii imeshauriwa kuzingatia ujenzi kwa kufuata sheria za mipango miji
Jamii imeshauriwa kuzingatia ujenzi kwa kufuata sheria za mipango miji katika maeneo mbalimbali nchini ili kuweza kupata msaada wa haraka pindi yanapotokea majanga ya moto kwenye makazi yao. Akizungumza kwa…
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Jenista Mhagama amesema
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Jenista Mhagama, amesema mishahara ya watumishi wa umma itapanda ifikapofika Julai 2022 ambapo sasa wizara imeanza…
Jamii imeshauriwa kuwa na utaratibu wa kupanda miti katika mazingira
Jamii imeshauriwa kuwa na utaratibu wa kupanda miti katika mazingira tunayoishi ili kusaidia kupambana na mabadiliko ya tabia nchi. Ushauri huo umetolewa na Afisa Misitu kutoka ofisi ya Mkuu wa…
Jeshi la polisi Mkoa wa Manyara linamshikilia Evamery Thomas
Jeshi la polisi Mkoa wa Manyara linamshikilia Evamery Thomas (43) mkazi wa Mawemairo kata ya Magugu kwa kosa la kukutwa na dawa za Kulevya aina ya Mirungi akiwa kwenye gari…
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka waandishi wa habari kuandika habari kwa kutunza na kuheshimu mila na desturi za kiafrika.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka waandishi wa habari kuandika habari kwa kutunza na kuheshimu mila na desturi za kiafrika. Akuzungumza leo katika maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya…
Uvutaji sigara ni moja ya sababu zinazochangia watu kupata saratani za koo
Uvutaji sigara ni moja ya sababu zinazochangia watu kupata saratani za koo, kinywa na moyo na kuibebesha Serikali na familia mzigo mzito wa matibabu kwa watu waliopata magonjwa hayo Kulingana…