India kufanya uchunguzi kuhusu waafrika kushambuliwa
Waziri wa mambo ya nje wa India Sushma Swaraj, ameomba kufanyika kwa uchunguzi kufuatia tuhuma za kushambuliwa kwa Waafrika katika jimbo la Uttar Pradesh. Wanafunzi wane kutoka Nigeria wanauguza majeraha…