Panya watano wafikishwa polisi kwa kula pesa
Mfanyibiashara mmoja kutoka nchini Uganda amewapeleka panya watano katika Kituo cha Polisi cha Kotido Central katika tukio la kushangaza lililowaacha wanakijiji wenzake midomo wazi. Peter Lojok Longolangiro aliwatuhumu ‘watuhumiwa ’…