Rais Samia Suluhu Hassan anatazamia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu ya Royal Tour
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatazamia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu ya Royal Tour itakayofanyika leo tar 28/4/2022 katika ukumbi wa Kimataifa AICC…