Rais samia suluhu ameeleza mafanikio katika safari yake nchini marekani,
Rais samia suluhu ameeleza mafanikio yaliyopatikana katika safari yake nchini marekani, ikiwepo kusaini mikataba na wawekezaji yenye thamani ya sh trilioni 11.7. akizungumza leo baada ya kuwasili nchini na ndege…