Katibu wa NEC itikadi uenezi na mafunzo wa CCM Paul Makonda amehitimisha ziara yake mkaoni Manyara kwa kutembelea wilaya ya Hanang
Katibu wa NEC itikadi uenezi na mafunzo wa CCM Paul Makonda amehitimisha ziara yake mkaoni Manyara kwa kutembelea wilaya ya Hanang ambayo mwishoni mwa mwezi Dec 2023 ilikumbukwa na maporomoko…