Halmashauri ya mji wa mbulu mkoani manyara, imeadhimisha miaka 58 kwa kupanda katika eneo la chuo cha tango ili kutunza mazingira.

hayo yamesemwa na mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa mbulu mwalimu peter sule alipokuwa akizungumza na kituo hiki.

amesema kuwa wao kama viongozi wa halmashauri wakishirikiana na ofisi ya mkuu wa wilaya waliamua kupanda miti kama ishara ya umoja katika kuenzi na kuudumisha muungano.

hapo tarehe 26 aprili tanzania imeadhimisha miaka 58 ya muungano wa tanganyika na zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *