NA WILIAM LALIYO MANYARA
wauguzi mkoani Manyara wameadhimisha siku ya Wauguzi duniani katika Tarafa ya Hydom ambapo wamezungumzia suala la kuboreshewa mazingira yao ya kazi.
Akizungumza katika maadhimisho hayo mwenyekiti wa chama cha wauguzi BI yasinta mkoa wa Manyara amesema wauguzi wa hospitali na vituo vya afya wanafanya kazi katika mazingira magumu sana
Aidha Mganga mkuu wa mkoa wa Manyara DR Damas kaira amesema serikali inashughulikia upungufu wa wahudumu wa afya pia na kutoa chanjo kwa wauguzi ili kuwakinga na maambukizi ya ugonwa wa ini
Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu BWHadson kamogaamekiri ni kweli kazi ya uuguzi ni ngumu lakini amewataka wauguzi kuendelea mayo huo wa kutoa huduma kwa wagonjwa
Kaimu katibu mkuu wa mkoa wa Manyara Bw marseile musa amesema wauuguzi wamesaidia sana kupunguza idadi ya vifo vya akinamama wajawazito katika mkoa wa manyara
siku ya wauguzi imefanyika may 12 wakiongozwa na kauli mbiu wauuguzi ni sauti ya kuongozac afya ni haki ya binadamu