Author: RHN 87.5FM

Makamu wa Rais atoa agizo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amemwagiza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere ahakikishe anaweka utaratibu wa kukutana na…

Zimbabwe yasherehekea miaka 37 tangu uhuru

Zimbabwe inasherehekea miaka 37 tangu kupata uhuru chini ya rais Robart Mugabe mwenye unmri wa miaka 93. Maadhimisho hayo yanafanyika kipindi ambacho Zimbabwe inakabiliwa na kushuka thamani kwa pesa yake…

Wito watolewa DAWASCO

Wito umetolewa kwa watendaji wa Mamlaka ya Maji safi Jijini Dar es Salaam (DAWASCO) kuongeza nguvu katika usambazaji wa huduma hiyo kwa wananchi kuliko kuwekeza katika Uzalishaji kama ilivyo sasa.…

Sakata la Vyeti feki laibuka tena

Sakata la watumishi wa umma kugushi vyeti vya elimu limezidi kuchukua sura mpya na sasa wamefikia zaidi ya 10,000. Hatua hiyo, inatokana na uhakiki uliofanywa na Sekretarieti ya Ajira katika…

Ajali mbaya yatokea Jijini Dar es salaam

Mtu mmoja mwanaume amefariki dunia papo hapo,huku wengine 27wakijeruhiwa baada ya Gari aina ya Eacher ambayo walikuwa wakisafiria kugonga treni katika maeneo ya Kamata wilaya ya Ilala Jijini Dar es…

Rais John Magufuli atoa ahadi kwa madaktari

Rais John Magufuli amesema kati ya madaktari 500 walioonyesha nia ya kwenda kufanya kazi nchini Kenya watachaguliwa 258 na kuajiriwa na serikali ya Tanzania mara moja kuanzia sasa. Taarifa iliyotolewa…

Bomu lauwa Afghanstan

Bomu kubwa zaidi kuwahi kutengenezwa na Marekani na ambalo halitumii nyuklia limeangushwa kwenye milima ya Afghanistan na kuripotiwa kuwaua mamia ya wapiganaji wa kundi la Islamic State ambao wamekuwa wakijificha…