mkuu wa jeshi la polisi nchini igp simon sirro, ana haya yakusema
mkuu wa jeshi la polisi nchini igp simon sirro, amesema kwamba mwananchi yeyote atakayefanikisha kutoa taarifa na kukamatwa kwa mtuhumiwa anayejihusisha wizi wa mifugo na uhalifu wa kutumia silaha atazawadiwa…