chanjo ya polio mbulu mkoani manyara
Wilaya ya Mbulu mkoani manyara inatarajia kuwapatia chanjo ya polio kwa watoto 77,000 ili kuwakinga na ugonjwa wa polio. Akizungumza na kituo hiki Mkuu wa wilaya ya Mbulu Sezaria Veneranda…
HabariNjema Fm- Mbulu Manyara
Wilaya ya Mbulu mkoani manyara inatarajia kuwapatia chanjo ya polio kwa watoto 77,000 ili kuwakinga na ugonjwa wa polio. Akizungumza na kituo hiki Mkuu wa wilaya ya Mbulu Sezaria Veneranda…
Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki amefariki dunia, akiwa na umri wa miaka 90. Katika taarifa yake, Rais Kenyatta aliyepokea kijiti kutoka kwa mzee Kibaki amesema kiongozi huyo ataandaliwa…
Mwanaume mmoja Elisha Ntai mkazi wa kitongoji cha Manyara kijiji cha Gedamara wilaya ya Babati mkoani Manyara amefariki dunia baada ya kukatwa kwa panga kichwani. Paulo Chepa Mwenyekiti wa kijiji…
Madereva na wamiliki wa vyombo vya usafiri wametakiwa kutumia nauli elekezi zilizotolewa na latra na kuacha tabia ya kuapndisha nauli kiholela kwa kusingizio cha kupanda kwa bei ya mafuta. Hayo…
Wazazi na walezi wameshauriwa kuzingatia haki za watoto ikiwa pamoja na kuwapa malezi bora ili kujenga Taifa lenye kizazi chenye maadili mema. Ushauri huo umetolewa na Afisa Ustawi wa Halmashauri…
Jamii imeshauriwa kuwa makini na kuzingatia elimu inayotolewa na jeshi la zima moto na uokoaji katika utumiaji wa majiko ya gesi kwenye familia ili kupunguza majanga ya moto yanayoweza kujitokeza.…
Leo ni siku ya watu wenye ulemavu wa kichwa kikubwa na Mgongo wazi Kauli mbiu Indio vikwazo vya huduma kwa walemavu. Follow us on our Facebook page for more pictures…
Papa Francisko ameridhia ombi la kujiuzulu kutoka madarakani lililowasilishwa kwake na Kardinali Giovanni Angelo Becciu, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la kuwatangaza waamini kuwa Wenyeheri na Watakatifu pamoja na kumwondolea…