Boko haramu latimiza miaka 3 toka utekaji wa wasichana – Nigeria
Miaka mitatu imepita tangu magaidi wa Boko Haram walipowateka wasichana zaidi ya 200 kutoka shule ya Chibok Kaskazini mwa Nigeria. Serikali ya Nigeria inasema mazungumzo yanaendelea kuhakikisha kuwa wasichana wengine…