waziri mkuu kassim majaliwa amewataka wafanyabiashara watumie fursa za kibiashara
waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wafanyabiashara wa pande zote mbili za Muungano watumie vyema fursa ya kibiashara ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili wajengane kibiashara kabla ya kufikiria…